2 Kings 14:1

Amazia Mfalme Wa Yuda

(2 Nyakati 25)

1Katika mwaka wa pili wa utawala wa Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli, Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda alianza kutawala.
Copyright information for SwhKC